Newsletter
Careers

Genuine Express

January 9, 2024 0Air Cargo

 

Karibu GENUINE EXPRESS!
Wasafirishaji bora wa mizigo kutoka China kuja Tanzania. Tunakusafirishia mizigo yako kwa haraka zaidi.
Huduma yetu ya usafirishaji ni ya kuaminika na ya uhakika. Tunafahamu umuhimu wa Muda na ndiyo maana tunahakikisha mizigo yako inawasili kwa wakati.

Pia tunafahamu Masumbuko mengi ya wafanyabishara, Agiza Nasi Bidhaa moja kwa moja kutoa China kwa Gharama Nafuu. Tunafanya manunuzi ya bidhaa yoyote bila tozo yoyote hapa nchini china na kukagua ubora wa bidhaa za wateja wetu

#GenuineExpressย  ย #TheSmartWayHome

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

×

 

HELLO!

Thank you for contacting Genuine Express. Which service can we provide you with today?

× Chat with us